UZINDUZI WA AUDIO CD YA KWAYA YA MT.MIKAELI,ALBUM INAYOITWA ''NAINUA MACHO NATAZAMA MBINGUNI''
Baadhi ya wanakwaya sauti ya kwanza wakiimba katika misa. |
Baadhi ya wanakwaya sauti ya nne wakiimba. |
Sauti ya pili nao hawakuwa nyuma. |
Waumini wakiwa wameketi huku misa ikiendelea. |
Maestro wa kwaya ya Mt.Mikaeli katika moja ya kazi zake. |
Viongozi wa kwaya wakiwa wamebeba CDs zenye Album mpya ya kwaya hiyo. |
Pd.Laizer akifungua CD hizo mpya tayari kwa kuzibariki. |
Pd.Laizer akizindua Album mpya. |
Akibariki kazi hiyo ya mikono ya wanadamu. |
Wakiendelea kutumbuiza baada ya misa takatifu. |
Album ikiwa sokoni tayari na waumini tayari wakiwa wameanza kununua. |
Hawa nao ni baadhi tu waliobahatika kunaswa na camera yetu nje ya kanisa baada ya misa takatifu wakiwa katika kupiga picha. |
0 comments:
Post a Comment