• A boat with beautiful sunset.
  • JKM GET TOGETHER
  • Amaizing sunrise moment

PICHA 15 ZIKIONESHA MWONEKANO MPYA WA BUSTANI ZA KANISA LETU MUHIMBILI


Mwana JKM mwenzangu, sitoacha kukusogezea habari zote zinazonifikia mtu wangu, hapa nimekuwekea picha 15 za muonekano mpya wa kanisa letu Katoliki Muhimbili, tofauti kubwa ikiwa imeletwa na garden ya kisasa zaidi iliyotengenezwa. Tusiache kuwaombea viongozi wetu wa parokia na JKM kwa kazi kubwa wanayoifanya kwa ajili ya taifa la MUNGU.



Na pia tunapojiandaa kufungua chuo hapo mwishoni mwa mwezi huu wa kumi, tusisahau michango yetu ya mali, kupitia BAHASHA ZA JENGA JKM, kwa ajili ya kuutunisha mfuko wetu.







kanisa linavyoonekana kwa mbele







muonekano mpya wa garden mbele ya ofisi za JKM








Appearance upande wa kanisa katoliki.

Mtu wangu wa karibu ni imani yetu kuwa umevutiwa na kazi nzuri iliyofanyika  . Basi kwa umoja wetu tuendelee kuleana na kupendana kama ilivyo kauli mbiu yetu

usisahau ku subscribe na kuacha comment yako hapo chini.

SHARE ON:

Hello guys, I'm Tien Tran, a freelance web designer and Wordpress nerd. Sed ut perspiciatis unde omnis iste natus error sit voluptatem accusantium doloremque laudantium, totam rem aperiam, eaque ipsa quae.

1 comments:

  1. It really looks more beautiful than before..
    I acknowledge the work that has been done.

    ReplyDelete