SEMINA ELEKEZI YA VIONGOZI -MBAGALA
Safari ilianza toka Chole na Muhimbili saa 1:30asb na tukafika Mbagala kama kwenye saa mbili na nusu hv.
Bahadhi ya washiriki wakiwa wamewasili kwenye eneo la tukio |
Wanaume wa kazi nao waliweza kuatendi hiyo semina |
Baada ya kuwasili registration ya wote waliohudhuria hiyo semina ilianza na baada ya hapo tukaingia ukumbi kwa ajiri ya kufungua semina yetu
walengwa wa semina wakijiandikisha majina yao |
Baba paroko father Mushi alitufungulia semina kwa sala na kutoa maneno yake ya ufunguzi
Mwenyekiti wa JKM akatoa taarifa kuhusu uwendeshaji wa JKM kwa mwaka uliopita
Baada ya hapo ikawa asubuhi ikawa teabreak.
Baada ya teabreak ilifuata somo la kwanza ambalo lilitolewa na brother Chotta(MD5)
sifa za kiongozi bora ni kuwa Mtumishi wa watu,Mchungaji wa watu na kiongozi ni wakili wa yesu |
Semina ikiendelea..
Bahadhi ya michezo ndani ya semina ilikuchangamshana kidogo
Baada ya hapo ikafuata kipindi cha pili kikaanza
lunch ilikuwa kama hivi
makabithiano ya uongozi katika ngazi zote za JKM
Nahawa ndio wenyeviti wa JKM 2013/14
kutoka kushoto Suzana(mkiti 1),Alfonce(mwenyekiti) and Benard(mkiti 2) |
Asante sana kutushirikisha semina kwa kutuletea picha hizi! Nimefurahi sana kuziona. Kila siku ninawaombea, na hasa wiki hii mlipokuwa mnajiandaa semina ya uongozi. Mungu azidi kuwajalia neema na mafanyikio mema katika kuendeleza umoja na upendo katika Jumuyia Katoliki Muhimbili!
ReplyDeleteFr. Mike
Asante kwa moyo wako ambao daima upo pamoja nasi kiroho Mungu akufanikishe katika yote uyafanyayo
DeleteMungu awabariki kwa kazi nzuri mnayoifanya
ReplyDeletesafi sana! mbarikiwe, kazi nzuri! keep it up!
ReplyDeletewajurishe nawengine kama kuna kitu kama hiki
Delete