MATUKIO KATIKA PICHA -SIKU YA JKM GET TOGETHER ,JULY 2013
Tamasha lilianza mida ya saa tisa na nusu mchana
Dada Clara,mwazini jkm, akifungua tamasha kwa kudaka mpira aliopigiwa na kaka Alfonce, M/kiti-Jkm. |
Kaka Alfonce akipiga mpira kuelekea golini kama ishara ya kufungua Get together |
Mchezo wa kwanza kuchezwa ulikuwa ni mpira wa pete
WanaJkm wakiwa kwenye uwanja wa mpira wa pete wakishuhudia na kuburudika |
Baada ya mchezo wa pete ratiba ilituelekeza mara moja kwenye eneo ambalo mbio mbalimbali zilichezwa
Wakinadada walioshiriki katika mbio za mita 100 |
Mshindi wa mbio za kinadada alikuwa dada catherine,aliyevaa nguo ya manjano. |
Wakina kaka walioshiriki kwenye mbio za mita 100 |
Baba mlezi father Mushi naye hakuwa nyuma katika kushiriki |
team za wasichana kwenye mbio za vijiti |
Timu za wavulana zilizoshiriki kwenye mbio za vijiti |
Ma MC wa siku hiyo wakiwa wanajipanga kwa tukio lililokuwa linafuata
|
Wakina dada wakijitahidi kuvuta kamba kwa nguvu zote.. |
Mchezo wa rede ndio uliofuatia
Madada na makaka wakipangana jinsi yakucheza mchezo wa redeMUDA WA SHINDANO LA KULA |
0 comments:
Post a Comment