MAKADIRIO BAJETI YA JKM 2013/2014
JUMUIYA KATOLIKI MUHIMBILI
MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI
KATIKA MWAKA WA MASOMO 2013/2014
Mchanganuo wa shughuli za JKM zitazoendeshwa kwa mwaka wa
masomo 2013/2014.
1. Semina
-Hija/ Mafungo ya majilio
-Mafungo ya kwaresma
-Semina ya Uchumba na ndoa/imani
-Semina ya uongozi kwa viongozi wapya
2. Matumizi ya ofisi
-Wino
-Catridges
-Internet
-Stationary
-nk.
3. Sherehe
-Kuwakaribisha mwaka wa kwanza
-Kuwaaga wahitimu
4. Matumizi mengine
-Michango, (mfano, MUFES).
-Safari za kutembelea/kusali tawi la chole (viongozi na
wanaJKM wote)
-Safari za kufanya matendo ya huruma (kutembelea wagonjwa,
yatima, wafungwa nk.)
-Bonanza la Imani
-Kamati ya mawasiliano
MAPATO
Mapato hupatikana kutokana na
vyanzo vikuu vifuatavyo:
- Mapato ya Ndani.
Haya hupatikana kwa njia zifuatazo:
Michango
ya wana JKM katika sherehe za kukaribisha mwaka wa kwanza (mwaka wa kwanza
hawachangii); na kuwaaga wahitimu
Mapato
kutokana na sadaka za misa maalumu za wanafunzi.
Mapato
kutokana na ada za ndoa za wanafunzi, na ufadhili kutoka kwa wana JKM waliopita
na waliopo.
Harambee
mbalimbali
2. Mapato
ya nje.
Kwa sasa mapato pekee ya nje ni gawio toka
parokiani. Mwaka uliopita waliahidi kuchangia million sita kwenye bajeti yetu
lakini kutokana na sababu mbalimbali, hadi hivi sasa hatujapokea pesa hiyo.
Wmetupa taarifa kuwa wanakamilisha taratibu za kibenki ili waweze kutupatia
pesa hizo. Inasikitisha kwamba tunapokea mwishoni mwa mwaka wa bajeti
tuliyoombea.
Makadirio ya mapato katika mwaka 2013/2014 ni kama ifuatavyo:
- Mapato ya ndani:
Chanzo cha mapato
|
Kiasi
|
Misa za chole
|
400,000/=
|
Misa za sherehe
|
200,000/=
|
Ndoa za wana JKM
|
|
Ufadhili wa wana JKM waliopita na waliopo
|
350,000/=
|
Bonanza la imani
|
700,000/=
|
Sherehe ya kuwakaribisha mwaka wa kwanza(@8000/=
wanakadiriwa kuchangia ni wanafunzi 220)
|
1,600,000/=
|
Sherehe ya kuwaaga wahitimu:
Wahitimu vitivo, 30@ 20,000/=
Institute, 50 @15,000/=; jumla: 1350,000/=
Wanaobaki inakadiriwa watachangia 220
@8000. Jumla 1,760,000/=
|
3,110,000/=
|
Hija Bagamoyo (@5000,inakadiriwa wanafunzi 100 watahudhuria)
|
500,000/=
|
Harambee kuu:
WanaJKM waliopo, watakaokusanya 280@10,000/=Waliomaliza,
50@ 30,000/=
|
4,300,000/=
|
Jumla kuu ya mapato ya ndani kwa mwaka
|
11,160,000/=
|
2. Mapato ya nje
Tunatarajia parokia itatoa walau zaidi ya kiwango
ilichoahidi mwaka jana, walau kuanzia 8,000,000/= hadi 10,000,000/=
Hivyo jumla kuu ya mapato( ndani +
nje) kwa mwaka tunakadiria Tshs 19,160,000/=.
MATUMIZI.
1. Semina
Gharama katika semina huwa katika Chakula, usafiri,
vinywaji, gharama za ukumbi na posho kwa mtoa mada.
Makadirio ya bajeti ya semina kwa mwaka 2013/2014:
MWEZI
|
SEMINA YA…….
|
MAKADIRIO YA GHARAMA
|
November/Disemba
|
Hija/Mafungo ya Majilio
|
1,500,000/=
|
January
|
Semina ya imani/Uchumba na ndoa
|
2,500,000/=
|
February/March
|
Mafungo ya kwaresma
|
2,700,000/=
|
April
|
Semina ya uongozi kwa viongozi wapya
|
1,500,000
|
Jumla ya gharama za semina
|
|
8,200,000/=
|
2. Sherehe
Kipengele
|
Gharama Sherehe ya:
|
|
Kuwakaribisha mwaka wa kwanza
|
Kuwaaga wahitimu
|
|
Chakula
|
2,400,000/=
|
2,500,000/=
|
V Vinywaji
|
900,000/=
|
900,000/=
|
Burudani |
200,000/=
|
200,000/=
|
Mapambo
|
100,000/=
|
100,000/=
|
Usafiri
|
250,000/=
|
250,000/=
|
Mialiko na vyeti
|
100,000/=
|
100,000/=
|
Zawadi
|
100,000/=
|
350,000/=
|
Dharura/matumizi
mengine
|
100,000/=
|
200,000/=
|
J Jumla
|
4,150,000/=
|
4,600,000/=
|
Hivyo jumla kuu kwa mwaka kwa
sherehe zote mbili ni shilingi 8,750,000/=
3. Matumizi mengine
Matumizi
|
Gharama, mara ngapi kwa mwaka
|
Jumla
|
Ofisi(stationary, ink, Catridge nk)
|
70,000 kila mwezi, *12
|
840,000/=
|
Michango, mfano MUFES, kwaya, rambirambi nk.
|
|
500,000/=.
|
Safari za kwenda chole
|
500,000/=
|
500,000/=
|
Safari za chole kuja kanisani/misa
|
60,000 kwa wiki 40
|
2,400,000/=
|
Safari za kujitolea nje ya Muhimbili
|
80,000/=, mara tano kwa mwaka.
|
400,000/=
|
Bonanza la Imani
|
350,000, mara mbili kwa mwaka
|
700,000/=
|
Internet
|
60,000/=
|
720,000/=
|
Kamati ya mawasiliano na habari (Publicity)
|
“Moving camera”, “news letter” n.k
|
1,500,000/=
|
Tahadhari/dharura
|
|
300,000/=
|
Jumla
|
|
7,860,000/=
|
Jumla kuu ya matumizi kama ilivyo ainishwa hapo juu (Semina,
sherehe na matumizi mengine kwa mwaka ni Tshs 24,810,000/=
Majumuisho makuu
Mapato
|
11,160,000/=
|
Matumizi
|
-24,810,000/=
|
Kiasi pungufu
|
-13,650,000/=
|
Kama parokia
wakitoa walau million 10, pungufu itakuwa:
|
-3,650,000/=
|
Imeandaliwa na:
……………………
………………………
Elizabeth Elias
Clara Kiria
Mhazini JKM
Mhazini msaidizi JKM
Alphonce M.K.M Nyalali
M/kiti mdogo JKM
Na imepitishwa na Padre Mlezi
……………………..
Fr. Fidelis Mushi
Paroko, Mlezi wa JKM
0 comments:
Post a Comment