CHOIRS' FINALISTS GRADUATION DAY(BOTH ST.AUGUSTINE AND ST.MICHAEL),HAWAII BEACH-UNUNIO(TEGETA)
With smiles on their faces,graduates from both choirs posed for a photo. |
Wahitimu wakiwa katika picha ya pamoja. |
Wakilishana keki. |
Akichagua keki katika harakati za kumlisha mpendwa. |
Kaka Chavala na Dada Larissa wakichukua keki kwa ajili ya kulishana. |
Kaka Chavala na Dada Larissa wakilishana keki |
Dr.Lawi nae katika kulisha keki. |
Kaka Kajeneza akichagua keki. |
Kaka Alex Kamugisha akichukua iliyo haki yake.. |
Kaka Anthimony akijongea mezani kupata chakula. |
Shigella nae akiwa katika ubora wake.. |
Kaka Sadock nae hakukosa siku hiyoooo. |
Kaka Alex na Amani kwa pembeni. |
Kaka Alphonce naye akipata haki yake... |
Kaka Geovec Simbeye baada ya kupata chakula sasa anelekea sehemu ya kukaa. |
Dada Asteria Julius akipata chakula. |
Kastuli naye hakukosa siku hiyo. |
Kaka Dismas akipata keki ya mwishomwisho. |
Kaka Anthimony(M/kiti JKM) akitoa neno. |
Baadhi ya wahitimu wakiimba wimbo wao. |
Innocent na Kusi nao hawakuwa mbali na camera yetu. |
Yakupita(wa pili kushoto),Chavala(katikati) na Dr.Lawi(kwanza kulia) wakiwa katika picha ya pamoja. |
0 comments:
Post a Comment