• A boat with beautiful sunset.
  • JKM GET TOGETHER
  • Amaizing sunrise moment

PICHA 15 ZIKIONESHA MWONEKANO MPYA WA BUSTANI ZA KANISA LETU MUHIMBILI

PICHA 15 ZIKIONESHA MWONEKANO MPYA WA BUSTANI ZA KANISA LETU MUHIMBILI

  Jkmmcc   10/26/2016 06:53:00 pm    1 comments
Mwana JKM mwenzangu, sitoacha kukusogezea habari zote zinazonifikia mtu wangu, hapa nimekuwekea picha 15 za muonekano mpya wa kanisa letu Katoliki Muhimbili, tofauti kubwa ikiwa imeletwa na garden ya kisasa zaidi iliyotengenezwa. Tusiache

SENIORTY BY BISHOP ORDINATION

SENIORTY BY BISHOP ORDINATION

  Jkmmcc   9/06/2016 11:51:00 am    0 comments
> Mwana JKM wangu wa nguvu, wakati huu unaweza kuwa likizo jimboni kwako na ungependa kujua 'Bishop' wako ana umri gani katika uaskofu. Kwa kizungu tungesema "Seniority by Bishop Ordintion". Sasa leo nakuso

Siku moja baada ya Mama Teresa kutangazwa, mtakatifu; kaka Innocent katutumia ujumbe huu wa Mt Mama Teresa

Siku moja baada ya Mama Teresa kutangazwa, mtakatifu; kaka Innocent katutumia ujumbe huu wa Mt Mama Teresa

  Jkmmcc   9/05/2016 05:01:00 pm    0 comments
                                          Ikiwa ni siku moja imepita ambapo Septemba, 5,2016 siku ya Jumapili, Baba Mtakatifu Francis alimtangaza Mama Teresa wa Calcutta kuwa mtakatifu, leo hii mwana JKM mwenzetu kaka Innocent Fransis katuma ujumbe huu

POPE FRANSIS DECLARES MOTHER TERESA A SAINT

POPE FRANSIS DECLARES MOTHER TERESA A SAINT

  Jkmmcc   9/04/2016 11:51:00 pm    0 comments
Pope Francis greets the Faithful who attend the Holy Mass and canonization of Mother Teresa of Calcutta, in Saint Peter's square  at the Vatican, on Sept, 4, 2016. Pope Francis declared Mother Teresa a saint

JE ULIYAKOSA MAFUNDISHO YAKE KAKA NAZARETH MWEMA SIKU YA SEMINA YA VIONGOZI WA JUMUIYA?

JE ULIYAKOSA MAFUNDISHO YAKE KAKA NAZARETH MWEMA SIKU YA SEMINA YA VIONGOZI WA JUMUIYA?

  Jkmmcc   6/08/2016 06:49:00 pm    3 comments
Mtu wangu popote ulipo kama uliikosa hii hotuba yake Kaka Nazareth ambaye ni Mwenyekiti mtaafu wa Jumuiya ya Wat COSMA & DAMIANO, aliyoitoa siku ya SEMINA YA VIONGOZI pale Mbagala Spiritual Centre, siku

HAPPY BIRTHDAY KAKA ALPHONCE

HAPPY BIRTHDAY KAKA ALPHONCE

  Jkmmcc   6/07/2016 01:32:00 pm    4 comments
WanaJKM tunaungana kukutakia heri katika siku muhimu kwako unapoadhimisha ukumbusho wa tarehe yako ya kuzaliwa.... <<<<we really, deeply and truly wish you all the best. In every step you take, in every day

MUHITIMU KAMA HUJAPIGA PICHA....NAKUSOGEZEA TAARIFA HII YA MUHIMU

MUHITIMU KAMA HUJAPIGA PICHA....NAKUSOGEZEA TAARIFA HII YA MUHIMU

  Jkmmcc   6/06/2016 11:53:00 pm    0 comments
<<<<<<<<<< READ MORE >>>>>>> JKM......KULEANA NA KUPENDANA Tunapenda kuwakumbusha wahitimu wote kufika kanisani siku za JUMATATU na JUMANNE  tarehe (5/6 - 6/6/ 2016)  kwa ajili ya zoezi la kupigwa picha kadiri ya ratiba walizotangaziwa. picha

SEMINA YA VIONGOZI 21/05/2016

SEMINA YA VIONGOZI 21/05/2016

  Jkmmcc   5/22/2016 10:13:00 am    0 comments
KATIBU JKM MWENYEKITI KAMATI YA IBADA CHAI YA NGUVU WATUNZA PESA JKM MWENYEKITI MSTAFU COSMA NA DAMIANO VIONGOZI WA KWAYA VIONGOZI MOYO MTAKATIFU WA YESU VIONGOZI CHOLE MWENYEKITI  KAMATI YA MAWASILIANO DADA VALERIA