MUHITIMU KAMA HUJAPIGA PICHA....NAKUSOGEZEA TAARIFA HII YA MUHIMU
<<<<<<<<<< READ MORE >>>>>>>
JKM......KULEANA NA KUPENDANA
Tunapenda kuwakumbusha wahitimu wote kufika kanisani siku za JUMATATU na JUMANNE tarehe (5/6 - 6/6/ 2016) kwa ajili ya zoezi la kupigwa picha kadiri ya ratiba walizotangaziwa. picha hizi ni kwa ajili ya kuwekwa kwenye vyeti watavyokabidhiwa siku ya mahafari.
Sambamba na hilo tunapenda kuwakumbusha wanaJKM wote kuendelea kutoa michango kwa ajili ya mahafari haya kwa viongozi wao. READ MORE>>>>>>>>>>
0 comments:
Post a Comment