• A boat with beautiful sunset.
  • JKM GET TOGETHER
  • Amaizing sunrise moment

Siku moja baada ya Mama Teresa kutangazwa, mtakatifu; kaka Innocent katutumia ujumbe huu wa Mt Mama Teresa

                                         
Ikiwa ni siku moja imepita ambapo Septemba, 5,2016 siku ya Jumapili, Baba Mtakatifu Francis alimtangaza Mama Teresa wa Calcutta kuwa mtakatifu, leo hii mwana JKM mwenzetu kaka Innocent Fransis katuma ujumbe huu ambao ni maneno ya Mt, Mama Teresa enzi za uhai wake:

       ''Kuna njia chache ambapo tunaweza kuwea unyenyekevu katika matendo; kuzungumza machache sana inavyowezekana juu yako. kujali mambo yaona si kutaka kutawala mambo ya wengine. Kuepuka kudadisi. Kukubali mambo yanayopingana na kukosolewa kwa kufuraha, Ktozuiwa kutenda mazuri kwa makosa ya wengine . Kukubali matusi na maumivu. Kukubali utukanwa , kusahauliwa na kutopendwa. kuwa mwema na mpole hata kama umekasirishwa. Hata kamwe usisimamie kwenye hadhi yako. Kuchagua kila mara jambo gumu''
Mt Mama Teresa wa Calcutta. 

SHARE ON:

Hello guys, I'm Tien Tran, a freelance web designer and Wordpress nerd. Sed ut perspiciatis unde omnis iste natus error sit voluptatem accusantium doloremque laudantium, totam rem aperiam, eaque ipsa quae.

    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment