SEMINA YA VIONGOZI ILIYOAMBATANA NA MAKABIDHIANO YA UONGOZI KWA VIONGOZI WAPYA ILIYOFANYIKA MBAGALA SPIRITUAL CENTRE TAREHE 09/05/2015
Ukiwa ni muda wa mapumziko, hapo ndio viongozi wanapata kubadilishana machache,kufahamiana n.k yote huchanganywa pamoja. |
Kumbe hata kutembea wana JKM hushirikiana!!! Kweli yatupasa kufanya mambo mengi kwa upendo na umoja. Usimuache mwana JKM mwenzako nyuma, twende pamoja katika hii safari. |
Mwenyekiti mpya akibadilishana mawili matatu na baadhi ya viongozi wake, mfano mzuri pia. |
Huo muda hatuulizi kama unazembea,.. maana ukizembea hapo huku boom linakata hahahaha, utamrudia Mgaya. |
Hapo Bruda wa nadhili fupi fupi akiwashirikisha viongozi, sijui nao wanavutiwa ama anawaelekeza namna ya kuwa na nadhili intermittent. |
Naona hapa hamna anaemwongelesha mwenzake, kazi tu. |
Ukianza ku-skip halafu ukaiona hii picha na wewe u mmoja wao, nahisi utaishia kupiga miayo. |
Haya katibu na camera man anakuangalia ka unavofanya wewe. |
Mmmmmh, kuwa JKM kuna raha nyingi, hapo nahisi stress zote za MUHAS zinapotea, isipokuwa kwa ndugu yangu Katto maana anaonekana sijui anawaza Davidson's Clinical medicine au Internal medicine. |
Ati baada ya kupiga picha camera man akaanza kuwaza, ''mbona Mr. Rumende ana sura ya ualimu na anapendeza akiwa mwalimu'' hahaha. Camera man nae bhana. |
Hongera mmependeza viongozi. |
Wakiwa na furaha huku wakiendelea na kilichowakalisha mezani. |
Wenyewe walikuwa wanasema Table ya mwisho na ya upendeleo, Hebu ngoja tuwaone kweli. |
Duuuuh, kumbe kweli ni ya upendeleo, naona wanaongezewa tu na wakiwa na furaha |
Mtoa maada a.k.a Jembe ka alivoitwa kwa siku hiyo, Stella Mwinuka akiendelea na maada na pembeni M/kiti mstaafu Kweyamba nae akifuatilia kwa makini.Tutakumiss sana dada Stella. |
. |
Wakiendelea kufuatilia maada kwa makini. Na kweli jitahidini mkayaishi na kuyatumia mlosikia toka kwa dada na yote mliyoyaandika kama kumbukumbu. |
Kiongozi akionesha mfano mzuri wa uchukuaji notes na umuhimu wa kumbukumbu. Safi sana ,ila uyatumie kweli uloandika. |
Wakiwa wanaandaa kishirikisho cha mchezo ni kaka Kazaura na dada Asteria, tutakumiss sana kaka Kazaura kwa ubunifu wako mwingi. |
Maada ikiendelea. |
Wakiendelea kufuatilia kwa umakini. |
What an exception talk from our sister Stella Mwinuka!!! Mungu akubariki zaidi dada. |
Wakiwa na kopi za maada na wakifuatilia kila kipengele. |
Mungu awafanye muwe viongozi bora na wabunifu. |
Hapa naona hamna anaeachwa kumbe. |
Dada Stella akiwa anahitimisha maada yake. |
Wakiwa wenye tabasamu, inaonekana wanaelewa zaidi. |
Haya sasa, mambo ya Bruda wa nadhili za muda ndo yanaanza. |
Hapo somo la kushirikiana katika kuwafikisha kondoo kwa bwana wao ndo linaeleweka zaidi na huo mchezo. |
Timu B ya M/kiti kaka Antimoni iko tayari . |
Its called Stress free zone and moments. |
Timu A ya kaka Kweyamba naona wamedhamiria kujaza kikopo toka umbali wa Mita 15 hivi alipo Captain wao. Hapo lazima akili itumike. |
Kazana kaka naona waweza okoa timu yako. |
Sasa sijui tuseme haya maji yanapitaje hapa, nahisi kaka atakuwa kama receptor's blocker. |
Marefa sasa wamepuriza filimbi ya mwisho na sample zinachukuliwa kupata matokeo. |
Hahahaha, mashabiki nao bhana, wanafuraaahi. Kumbe furaha tunatakiwa kushare wote bila kujalisha nani kaleta ushindi. |
Na mshindi kapatikana. |
Camera man nae kumbe anapenda kuwa kwenye picha. Sikujua bhana. |
Brothers in Christ. |
Hapa sio ku-edit bali camera man aliipigia kwenye tundu akiwa nje. Its looking awesome anyway japo hakuna watu. |
Lunch time inaitwa |
Umoja unaendelezwa kotekote. |
Haya Bruda naona kweli unadhihirisha neno la Yesu ''ukitaka kuwa mkubwa lazima uwe mtumishi wa wengine wote''. Hudumia kaka. |
JKM ina kila aina ya watumishi wa Bwana. |
Hapo ni wewe tu unajipakulia, nahisi hiyo itakufanya uisahau cafeteria ya Mgaya. |
Picha kutokea nje, ilipigiwa kwenye tundu. Wanaonekana wakiendelea na kazi. |
Kwa furaha na upendo wakiendelea kula na kujadili mawili matatu. |
Kwa vitendo zaidi. |
They call it adittion, so mbaya. |
Wenyeviti wa matawi ya Chole,Vitivo,MTC na Uuguzi katika kuelekea makabidhiano. Kutoka kushoto M/kiti wa Chole, aliyekuwa M/kiti wa Vitivo,M/kiti wa MTC, na muwakilishi wa M/kiti wa Uuguzi. |
Wawakilishi wa madarasa na Blocks toka jumuiya ya Mt. Fransisco wa Asizi, Chole wakijitambulisha. |
Viongozi wa JKM Chole. |
Wakiwa na M/kiti wao na kukumbatiana kwa furaha. |
Viongozi wa madarasa jumuiya ya Wat. Cosmas na Damiano. |
Viongozi wa kamati tendaji, VITIVO. |
Viongozi wa kamati kuu, Chole. |
Viongozi wa Kwaya ya Mt. Augustino. |
Mwenyekiti kaka Antimony(kushoto) na M/kiti msaidizi dada Angel (kushoto). |
Picha ya pamoja |
Picha ya pamoja ya wenyeviti wote na makatibu wote. |
Picha ya pamoja ya viongozi wote. |
When funny becomes funniest. |
Captured by brother Alex Kamugisha. |
Was the last photo, and as per camera man it was credited as the best photo of the day. Hongera dada, wanasema its a nice photo. Amaizing fulani hivi. |