SHEREHE YA KUWAKARIBISHA MWAKA WA KWANZA-2014 JKM inatoa shukrani zake za dhati kwa watu wote waliowezesha tukio muhimu hili kufanyika. Kwa wanakamati wote hongereni na kwa wanajumuiya wote tuendelee kushikamana na kuleana