JUMUIYA YA WAT COSMAS NA DAMIANO-VITIVO
Inayo furaha kubwa kuwaalika wale wote wenye mapenzi mema kwenye get together yao itakayo tanguliwa na misa takatifu 9/11/2014, 2:30 asubuhi hapa muhimbili. Get together hiyo itafanyika fukwe za ununio- Tegeta.
Hakuna gharama yoyote ile utakayo takiwa kuchangia. Na usafiri wa kuelekea ufukweni utaondoka saa 7.30 mchana.
KARIBUNI SANA!!!
KAMA KAKA ZETU NA DADA ZETU WAMEWEZA.. KWANN SIO SISI!! |
0 comments:
Post a Comment