KARIBU WAGENI KUTOKA CHOLE!!
Lilikuwa ni zoezi fupi lililoendeshwa na jumuiya ya watakatifu Cosmas & Damiano-vitivo kwa lengo la kuwakaribisha wanajumuiya wapya kwa mwaka 2013/14
Shughuli hiyo ilifanyika katika beach ya Mji mwema-kigamboni.Tulisafiri,tulicheza michezo ya beach,tulikunywa na kula na mweshowe tulipata fursa ya kutembea kutoka ferry mpaka MUHAS.
kwa ufupi matukio yalikuwa kama yanavyooneka kwenye picha
0 comments:
Post a Comment