BAADHI YA MATUKIO MUHIMU YALIOTOKEA WAKATI WA MAOMBOLEZO YA KUMUAGA MPENDWA WETU BWANA ALPHONCE J MUSHI
SIKU YA MKESHA WA JUMANNE ILIYOANDALIWA NA WANAJKM.
safari ya kutoka mochwali kuelekea kanisani siku ya mkesha |
watu wakifungua sala za mkesha kwa rozari |
baadhi ya watu siku ya mkesha |
kwaya siku ya mkesha |
baadhi ya mwanajkm siku ya mkesha |
mwenyekiti wa tawi la mt Agatha akitoa salamu |
Mwongozaji wa ibada ya mkesha akitoa utaratibu wa kufuata |
mwenyekiti wa jumiya ya mt Fransic akitoa salamu za rambirambi |
mwakilishi kutoka jumuiya ya postgraduate akitoa salamu za rambirambi kwa familia usiku wa mkesha |
Misa ya kumuaga marehemu wetu Alphonce iliofanyika kanisani Muhimbili
padri aliyeongoza misa ya kumuaga marehemu |
watumishi wa misa siku hiyo ya kumuaga mpendwa wetu alphonce |
baadhi ya wanajkm wakiwa nje siku ya misa ya marehemu |
kwaya (wakati wa misa ya mazishi) |
Bahadhi ya masista walioshiriki kwenye misa ya mazishi |
Padre akitoa baraka kwa marehemu |
Familia alioiacha Marehemu |
Mwenyekiti wa JKM akitoa salamu za rambirambi |
Mchungaji wa kanisa la umoja akitoka salamu za rambirambi |
Marehemu Alphonce mushi akiwa amelazwa kwenye jeneza. |
Paroko akionye cheteso alichokiagiza marehemu wakati wa uhai wake, na kikatumika kwa mara ya kwanza kwenye misa yakumuaga. |
mapadri wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu |
ndugu mbalimbali wakitoa heshima na pole kwa familia ya marehemu |
bahadhi ya wanajkm wakitoa heshima zao za mwisho |
mwili wa marehemu ukitolewa kanisani tayari kwa ajiri ya safari ya kwenda moshi |
baadhi ya watu walio ubeba mwili wa marehemu kutoka kanisani |
Add caption |
mwili wa marehemu ukiingizwa kwenye gari dogo tayari kwa safari |
0 comments:
Post a Comment