JKM GET TOGETHER 6/7
Wanajkm wote tunaarikwa kwenye tamasha la wanajkm siku ya jumamosi ya tarehe sita MWEZI WA SABA.Tamasha lenyewe litaanza kwa Michezo mbalimbali pale uwanjani kuanzia saa tisa mchana ikifuatiwa na tukio la jioni kuanzia saa mbili usiku.Kutakuwa na ufunguzi wa novena ya kuombea mitihani siku hiyo pia..Wote tunakaribishwa kushiriki.