PICHA 15 ZIKIONESHA MWONEKANO MPYA WA BUSTANI ZA KANISA LETU MUHIMBILI
Na pia tunapojiandaa kufungua chuo hapo mwishoni mwa mwezi huu wa kumi, tusisahau michango yetu ya mali, kupitia BAHASHA ZA JENGA JKM, kwa ajili ya kuutunisha mfuko wetu.
kanisa linavyoonekana kwa mbele
muonekano mpya wa garden mbele ya ofisi za JKM
Appearance upande wa kanisa katoliki.
Mtu wangu wa karibu ni imani yetu kuwa umevutiwa na kazi nzuri iliyofanyika . Basi kwa umoja wetu tuendelee kuleana na kupendana kama ilivyo kauli mbiu yetu
usisahau ku subscribe na kuacha comment yako hapo chini.