MISA YA KUSIMIKWA RASMI KWA PAROKO MPYA PD. EFRAIMU, TAR 28/06/2015 Ufunguzi wa misa ya kusimikwa kwa paroko mpya. Wakiwa tayari kula kiapo. Akivikwa rasmi vazi la kiparoko kuashiria kuwa paroko halali. Kwaherini wajukuu zangu eti eeh!