Home
Archive for
June 2015
TOPIC:ABORTION,..By ASTERIA JULIUS THAT WAS DONE ON TUESDAY 23/June/2015 FOR COSMAS AND DAMIAN COMMUNITY
Abortion is among most headaches to many people of different carriers,politicians,lawyers,medical professionals,individuals and many more. Asteria has prepared a best and simple presentation by which everyone can do self assessment on how oneself is the causative and can also be of help in prevention of it.
UHAI……. Zawadi ya Mungu, mali ya
Mungu
WACHANGIAJI WA JANGA LA UTOAJI MIMBA
o
Je umejaribu kutafakari jinsi wewe na mimi
tunavyochangia ?
o
Je wewe na mimi hatujakaa kimya hali tukiona
vitendo vya utoaji mimba vikifanyika ?
o
Je tumewahi kukemea vitendo hivyo hadharani watu
wakasikia ?
o
Je tumewahi kumkabili mtoaji mimba mwenyewe
tukamwambia kuwa amefanya makosa kumuua motto wake?
o
Je tumewahi kuchukua hatua za kisheria dhidi ya
yeyote alietoa mimba ?
o
Je wewe na mimi hatujatoa fedha kumsaidia rafiki
yetu/ mshikaji wetu kutoa mimba?
o
Je hatujamsindikiza au kumpeleka rafiki zetu/
mke kwa maganga kutoa mimba ?
1. Daktari/ nesi/ mtoaji dawa
o
Huyu amechangia moja kwa moja katika kuua: huyu
ndiye muuaji
o
Ni yeye ameniaminisha kuwa utoaji mimba ni
kitendo cha kawaida tu tena cha mara moja kisichokuwa na madhara yoyote : maumivu
o
Huyu ndie anayedanganya kuwa aliemo tumboni sio
mototo, si binadamu, ni nyama tu, ni damu damu tu sawa na damu ya mwezi
o
Pia anawaeleza aliemo tumboni ni kiumbe tu
chenye kichwa kikubwa na mkia mdogo
o
Utoaji mimba ni jambo la biashara huwaingizia
kipato kikubwa.
2. Mama wa mototo
o
Mama anafanya uamuzi ( uwe wa hiari au kulazimishwa) ndie anayemwambia mganga/
daktari muue mtoto huyu simtaki
o
Ili mama aue mtoto wake lazima atumie uongo na
visingivio mfano:
maisha yangu ni magumu, sina fedha
baba wa mtoto amenitelekeza
3. Baba wa mtoto
o
anaweza kushiriki moja kwa moja kutoa fedha za
kumuua mtoto, kumsindikiza
anaweza kuwa amekataa na/ au kutekeleza mimba hiyo kwa kuogopa malezi yap
eke yake mama anaweza kulazimika, kama njia ya kumkomboa baba wa mtoto huyo
4. Ndugu marafiki huchangia kwa
o
kumzomea mwenzao kwa kupata mimba akiwa
mwanafunzi, mke au mshikaji wa mtu mwingine , bado ananyonyesha, umri mdogo au
mkubwa
5. Bunge
o
kutunga sheria zinazoruhusu utoaji mimba
o
kushindwa kutunga sheria za kuwalinda binadamu
dhaifu
o
kusikiliza hoja za watetezi wa vifo bila
kuzifanyia ufumbuzi wa kina
6. mahakama
o
kushindwa kutoa hukumu zinazowalinda watoto
o
kupindisha tafsiri ya sheria ili itumikie
maslahi ya watetezi wa vifo
o
kushindwa kutoa adhabu kalipale ambapo utoaji
mimba hauruhusiwi
7. mashirika mabalimbali
o
kuhamasisha kupitia kampeni na program kwaajili
ya utoaji mimba
o
kuziteka mamlaka na taasis za serikali kwa
udanganyifu wa fedha nyingi
o
kutumia lugha inayomdunisha binadamu aliye
tumboni ili aonekane kuwa sio mtu
o
katika kuweka na kutekeleza
sheria/kanuni/taratibu za kuwafukuza wanawake wapatapo mimba
o
ajira zinazombagua mwanamke mjamzito
o
mtazamo wa kumwona mwanamke mjamzito kama ni
mzinzi mkubwa hasa katika taasisi za kidini.
8.
Wanasayansi
hasa wale waliosomea elimu juu ya mimba.
o
Kuchagua mtoto wa jinsi wanayotaka
o
Watoto wanaobainika kuwa na ulemavu
9. Viongozi wa dini
o
Hushiriki kutokana na ukimya wao ambapo
huwafanya waamini wabaki njia panda.
o
Hujiuliza je utoaji mimba ni dhambi mbele ya Mungu
? mbona viongozi wetu hawasemi lolote
Wajibu wetu
Kwa kuwa karibia wote tunahusika kwa namna
moja au nyingine katika janga hili la utoaji
mimba. Wajibu wetu ni kulitokomeza kwa
kufanya hivi.
ü
Kuwa mashahidi sisi wenyewe
ü
Kutofumbia macho uovu huu
ü
Kuufichua ukweli
ü
Kuandika, kuongea na kutumia vyombo vya habari
kutetea uhai kusali na kuombea watu wabadilike
Imeandaliwa
na kuletwa kwenu nami Asteria Julius,
Subscribe to:
Posts
(
Atom
)