MISA YA SHUKRANI YA UPADRISHO WA Pd. GERMIN LAIZER, MUHIMBILI.
Kaka Alex Kamugisha akionesha vitu vyake. |
Akisoma somo la kwanza,. |
Akisoma somo la pili. |
Pd. Njoka akisoma Injili takatifu. |
Akitoa maombi,.. |
Akitoa maombi. |
Akitoa maombi, |
Sr, akitoa maombi. |
Akitoa maombi. |
Muda wa sadaka. |
kwa makini wakifuatilia,.... |
Duuuuh,.... Acha wewee,.. Kaka uko juu. Ama kweli watu hutumia kila kiungo alichowapa Mwenyezi katika kumsifu. |
Kuelekea mageuzo. |
Watumishi wa altare wakiwavuvia waumini ubani, kuwaandaa na mageuzo. |
Walifuatilia hata walipokosa nafasi ndani. |
Wow! hongera dada, msifu Mungu kwa kipaji chako na tumia chochote ulichonacho kufanya hivyo. |
Mwenyekiti msaidizi akitoa mawaidha yake. |
Padre Germin Laizer(wa mwiso kulia) akiwa na Pd Njoka na watumishi wa altare nje ya kanisa tayari kwa maandamano. |
Wanakwaya wa Mt. Augustino wakiwa tayari kwa maandamano. |
Maandamano kuelekea kanisani yakiongozwa na watumishi wa altare. |
Wakielekea kanisani. |
Baadhi ya waumini wakifuatilia kwa umakini mkubwa mwanzo wa misa hiyo. |
Pd. Laizer akiwakaribisha waumini katika kuanza misa. |
Wanakwaya wakiwa katika kuwajibika kwao. |
Wakipeleka neno la Bwana,. Utamadunisho mzuri. Hongereni. |
Akimnong'oneza camera man, (... naogopa ntadondoka,...) |
Wakitamadunisha,. |
Baada ya kukabidhi Neno la Bwana kwa Padri sasa ilibaki kutulia tu. Hongera mdogo wetu. |
Wakicheza bila hata wasiwasi wa kudindosha vyungu,.. Mmmmh! Hongereni. |
Wow!! What a great moment? |
Pd. Laizer akihubiri kwa msisitizo |
Akifuatilia kwa makini. |
Akitoa maombi. |
Muda wa kutoa sadaka,. |
Edwin Chavala katika kitengo chake,.. Hongera kaka kwa kipaji chako hicho. |
Wakiwa wametulia na kufuatilia kila kinachoendelea,. |
Nao hawakuwa nyuma katika kufuatilia kinachoendelea japo walikuwa nje ya kanisa kutokana na kanisa kujaa. |
Japo walikuwa nje ya kanisa lakini walifuatilia kila kitu ,.. |
Wakati wa kujongea meza ya Bwana ,waumini wakipokea Ekaristi takatifu. |
Walio wake humtafuta popote bila kujali changamoto walizonazo. Mungu na atukuzwe katika huyu mtoto wake. |
Katika kumsifu Mungu,... |
Pd. Laizer akimsifu Mungu kwa kuimba na makofi. |
Watumishi wa altare nao wakimsifu Mungu kwa makofi na kuimba. Mungu na atukuzwe na kuhimidiwa. |
Hapo katika kumsifu Mungu wakipeperusha vitambaa vyao juu. |
Wakitumia kila walichopewa kumsifu Mungu. |
Choir-mistress,. Wow! |
Katika kumsifu Mungu kila mtu akiwa katika hali ya kubarikiwa . |
Umeniita Bwana nikutumikie,... |
Muda wa katikista kuonyesha vitu vyake na kupiga vigelegele,(Katekista na katibu wa JKM wakiwa katika muda wa kufurahisha zaidi. |
Kumbe furaha ni kwa kila mtu!!! wow!!!! |
Wakitumia staili ya pekee na ya aina yake kupiga makofi. |
Wakati furaha inaposhindwa kufichika na kuonekana hadharani. Wakiwa wenye furaha waumini wakati wa Misa takatifu. |
Lead by love and union. |
Is that looking at a camera-man or following what's happening at the front? Hahahaaa,... It was good momment anyway. |
Pd. Germini Laizer, (utume mwema baba). |
Wakifuatilkia ilichokuwa kinaendelea. |
Katika kumshika mkono Pd. Laizer |
Katika kumshika mkono Pd. Laizer |
Hongera baba. |
Akionesha kuguswa na watoto wadogo. |
Choir-mistress, so wonderful and charming. |
Pendeza sana. |
Akifurahi na mdogo wake. Sijui na yeye anatamani awe hivyo au ndo anakumbukia tu enzi zake alivyokuwa hivyo!!? |
Baada ya utamadunisho, hapo wakifurahi baada ya Misa. |
Hahahaaaa,.........!!!!!. JKM hiyooooooo! |
Wakionesha umoja,furaha na mshikamano. |
Baadhi ya wana JKM wakibadilishana mawazo mara baada ya Misa takatifu.. |
Katika hali ya kufurahi wakipata vinywaji mara baada ya misa, wana JKM. |
Wow!! What a talent she has. Thumb up to her. |
Really she is able and doing great, congratulation sister. |
Thanks all who have followed us on this blog site. Would like most of your comments here. Tell your friends and other believers to do the same please. You are welcome all.
ReplyDeleteJKM na na idumu milele katika kumtukuza MUNGU.Ndimi Venance Ntengo ex-JKM member
ReplyDelete