• A boat with beautiful sunset.
  • JKM GET TOGETHER
  • Amaizing sunrise moment

KARIBU WAGENI KUTOKA CHOLE!!

Lilikuwa ni zoezi fupi lililoendeshwa na jumuiya ya watakatifu Cosmas & Damiano-vitivo  kwa lengo la kuwakaribisha wanajumuiya wapya kwa mwaka 2013/14

Shughuli hiyo ilifanyika katika beach ya Mji mwema-kigamboni.Tulisafiri,tulicheza michezo ya beach,tulikunywa na kula na mweshowe tulipata fursa ya kutembea kutoka ferry mpaka MUHAS.
kwa ufupi matukio yalikuwa kama yanavyooneka kwenye picha

































SHARE ON:

Hello guys, I'm Tien Tran, a freelance web designer and Wordpress nerd. Sed ut perspiciatis unde omnis iste natus error sit voluptatem accusantium doloremque laudantium, totam rem aperiam, eaque ipsa quae.

    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment