• A boat with beautiful sunset.
  • JKM GET TOGETHER
  • Amaizing sunrise moment

MAKADIRIO BAJETI YA JKM 2013/2014


   JUMUIYA KATOLIKI MUHIMBILI
MAKADIRIO YA MAPATO NA MATUMIZI KATIKA MWAKA WA MASOMO 2013/2014


Mchanganuo wa shughuli za JKM zitazoendeshwa kwa mwaka wa masomo  2013/2014.

1. Semina
-Hija/ Mafungo ya majilio
-Mafungo ya kwaresma
-Semina ya Uchumba na ndoa/imani
-Semina ya uongozi kwa viongozi wapya

2. Matumizi ya ofisi
-Wino
-Catridges
-Internet
-Stationary
-nk.

3. Sherehe
-Kuwakaribisha mwaka wa kwanza
-Kuwaaga wahitimu

4. Matumizi mengine
-Michango, (mfano, MUFES).
-Safari za kutembelea/kusali tawi la chole (viongozi na wanaJKM wote)
-Safari za kufanya matendo ya huruma (kutembelea wagonjwa, yatima, wafungwa nk.)
-Bonanza la Imani
-Kamati ya mawasiliano

MAPATO
Mapato hupatikana kutokana na vyanzo vikuu vifuatavyo:

  1. Mapato ya Ndani.
Haya hupatikana kwa njia zifuatazo:
*    Michango ya wana JKM katika sherehe za kukaribisha mwaka wa kwanza (mwaka wa kwanza hawachangii); na kuwaaga wahitimu
*    Mapato kutokana na sadaka za misa maalumu za wanafunzi.
*    Mapato kutokana na ada za ndoa za wanafunzi, na ufadhili kutoka kwa wana JKM waliopita na waliopo.
*    Harambee mbalimbali

     2. Mapato ya nje.
 Kwa sasa mapato pekee ya nje ni gawio toka parokiani. Mwaka uliopita waliahidi kuchangia million sita kwenye bajeti yetu lakini kutokana na sababu mbalimbali, hadi hivi sasa hatujapokea pesa hiyo. Wmetupa taarifa kuwa wanakamilisha taratibu za kibenki ili waweze kutupatia pesa hizo. Inasikitisha kwamba tunapokea mwishoni mwa mwaka wa bajeti tuliyoombea.

Makadirio ya mapato katika mwaka 2013/2014 ni kama ifuatavyo:

  1. Mapato ya ndani:

Chanzo cha mapato

Kiasi
Misa za chole
400,000/=
Misa za sherehe
200,000/=
Ndoa za wana JKM

Ufadhili wa wana JKM waliopita na waliopo
350,000/=
Bonanza la imani
700,000/=
Sherehe ya kuwakaribisha mwaka wa kwanza(@8000/= wanakadiriwa kuchangia ni wanafunzi 220)
1,600,000/=
Sherehe ya kuwaaga wahitimu:
Wahitimu vitivo, 30@ 20,000/=
Institute, 50 @15,000/=; jumla: 1350,000/=
Wanaobaki inakadiriwa watachangia 220
@8000. Jumla 1,760,000/=


3,110,000/=
Hija Bagamoyo (@5000,inakadiriwa wanafunzi 100 watahudhuria)
500,000/=
Harambee kuu:
WanaJKM waliopo, watakaokusanya 280@10,000/=Waliomaliza, 50@ 30,000/=

4,300,000/=
Jumla kuu ya mapato ya ndani kwa mwaka
11,160,000/=

2. Mapato ya nje
Tunatarajia parokia itatoa walau zaidi ya kiwango ilichoahidi mwaka jana, walau kuanzia 8,000,000/= hadi 10,000,000/=
Hivyo jumla kuu ya mapato( ndani + nje) kwa mwaka tunakadiria Tshs   19,160,000/=.



MATUMIZI.
1. Semina
Gharama katika semina huwa katika Chakula, usafiri, vinywaji, gharama za ukumbi na posho kwa mtoa mada.
Makadirio ya bajeti ya semina kwa mwaka 2013/2014:
MWEZI
SEMINA YA…….
MAKADIRIO YA GHARAMA
  November/Disemba
Hija/Mafungo ya Majilio
1,500,000/=
  January
Semina ya imani/Uchumba na ndoa
2,500,000/=
  February/March
Mafungo ya kwaresma
2,700,000/=
  April
Semina ya uongozi kwa viongozi wapya
1,500,000
Jumla ya gharama za semina

8,200,000/=

2. Sherehe

Kipengele
Gharama Sherehe ya:
Kuwakaribisha mwaka wa kwanza
Kuwaaga wahitimu
      Chakula
2,400,000/=
2,500,000/=
V   Vinywaji
900,000/=
900,000/=
       Burudani
200,000/=
200,000/=
       Mapambo
100,000/=
100,000/=  
       Usafiri
250,000/=
250,000/=
       Mialiko na vyeti
100,000/=
100,000/=
       Zawadi
100,000/=
350,000/=
       Dharura/matumizi
       mengine

100,000/=

200,000/=
J      Jumla
4,150,000/=
4,600,000/=
Hivyo jumla kuu kwa mwaka kwa sherehe zote mbili ni shilingi  8,750,000/=

3. Matumizi mengine

Matumizi
Gharama, mara ngapi kwa mwaka
Jumla
Ofisi(stationary, ink, Catridge nk)
70,000 kila mwezi, *12
840,000/=
Michango, mfano MUFES, kwaya, rambirambi  nk.

500,000/=.
Safari za kwenda chole
500,000/=
500,000/=
Safari za chole kuja kanisani/misa
60,000 kwa wiki 40
2,400,000/=
Safari za kujitolea nje ya Muhimbili
80,000/=, mara tano kwa mwaka.
400,000/=
Bonanza la Imani
350,000, mara mbili kwa mwaka
700,000/=
Internet
60,000/=
720,000/=
Kamati ya mawasiliano na habari (Publicity)
“Moving camera”, “news letter” n.k
1,500,000/=
Tahadhari/dharura

300,000/=
Jumla

7,860,000/=
Jumla kuu ya matumizi kama ilivyo ainishwa hapo juu (Semina, sherehe na matumizi mengine kwa mwaka ni Tshs 24,810,000/=
Majumuisho makuu
Mapato
11,160,000/=
Matumizi
-24,810,000/=
Kiasi pungufu
-13,650,000/=
Kama parokia wakitoa walau million 10, pungufu itakuwa:
-3,650,000/=

Imeandaliwa na:

……………………                                                  ………………………
  Elizabeth Elias                                                       Clara Kiria                                          
Mhazini JKM                                                          Mhazini msaidizi JKM

Alphonce M.K.M Nyalali
M/kiti mdogo JKM

Na imepitishwa  na Padre Mlezi
……………………..
Fr. Fidelis Mushi
Paroko, Mlezi wa JKM

SHARE ON:

Hello guys, I'm Tien Tran, a freelance web designer and Wordpress nerd. Sed ut perspiciatis unde omnis iste natus error sit voluptatem accusantium doloremque laudantium, totam rem aperiam, eaque ipsa quae.

    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment