BAADHI YA MATUKIO MUHIMU YALIOTOKEA WAKATI WA MAOMBOLEZO YA KUMUAGA MPENDWA WETU BWANA ALPHONCE J MUSHI
SIKU YA MKESHA WA JUMANNE ILIYOANDALIWA NA WANAJKM.
| safari ya kutoka mochwali kuelekea kanisani siku ya mkesha |
| watu wakifungua sala za mkesha kwa rozari |
| baadhi ya watu siku ya mkesha |
| kwaya siku ya mkesha |
| baadhi ya mwanajkm siku ya mkesha |
| mwenyekiti wa tawi la mt Agatha akitoa salamu |
| Mwongozaji wa ibada ya mkesha akitoa utaratibu wa kufuata |
| mwenyekiti wa jumiya ya mt Fransic akitoa salamu za rambirambi |
| mwakilishi kutoka jumuiya ya postgraduate akitoa salamu za rambirambi kwa familia usiku wa mkesha |
Misa ya kumuaga marehemu wetu Alphonce iliofanyika kanisani Muhimbili
| padri aliyeongoza misa ya kumuaga marehemu |
| watumishi wa misa siku hiyo ya kumuaga mpendwa wetu alphonce |
| baadhi ya wanajkm wakiwa nje siku ya misa ya marehemu |
| kwaya (wakati wa misa ya mazishi) |
| Bahadhi ya masista walioshiriki kwenye misa ya mazishi |
| Padre akitoa baraka kwa marehemu |
| Familia alioiacha Marehemu |
| Mwenyekiti wa JKM akitoa salamu za rambirambi |
| Mchungaji wa kanisa la umoja akitoka salamu za rambirambi |
| Marehemu Alphonce mushi akiwa amelazwa kwenye jeneza. |
| Paroko akionye cheteso alichokiagiza marehemu wakati wa uhai wake, na kikatumika kwa mara ya kwanza kwenye misa yakumuaga. |
| mapadri wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu |
| ndugu mbalimbali wakitoa heshima na pole kwa familia ya marehemu |
| bahadhi ya wanajkm wakitoa heshima zao za mwisho |
| mwili wa marehemu ukitolewa kanisani tayari kwa ajiri ya safari ya kwenda moshi |
| baadhi ya watu walio ubeba mwili wa marehemu kutoka kanisani |
| Add caption |
| mwili wa marehemu ukiingizwa kwenye gari dogo tayari kwa safari |






0 comments:
Post a Comment