• A boat with beautiful sunset.
  • JKM GET TOGETHER
  • Amaizing sunrise moment

SEMINA ELEKEZI YA VIONGOZI -MBAGALA


Safari ilianza toka Chole na Muhimbili  saa 1:30asb na tukafika Mbagala kama kwenye saa mbili na nusu hv.



Bahadhi ya washiriki wakiwa wamewasili kwenye eneo la tukio


Wanaume wa kazi nao waliweza kuatendi hiyo semina


Baada ya kuwasili registration ya wote waliohudhuria hiyo semina ilianza na baada ya hapo tukaingia ukumbi kwa ajiri ya kufungua semina yetu

walengwa wa semina wakijiandikisha majina yao
Baba paroko father Mushi alitufungulia semina kwa sala na kutoa maneno yake ya ufunguzi

Baba mlezi alifungua kwa kitabu kutoka Mt 28:16-20.
alisema pia viongonzi wanakazi ya kuwaunganisha watu wote ili waweze kufika kwa  Mungu,kuwakumbusha pale wanapokuwa wamesahau,kuwaongoza katika liturujia na kujitoa.

Mwenyekiti wa JKM akatoa taarifa kuhusu uwendeshaji wa JKM kwa mwaka uliopita

Baada ya hapo ikawa asubuhi ikawa teabreak.



Baada ya teabreak ilifuata somo la kwanza ambalo lilitolewa na brother Chotta(MD5)

sifa za kiongozi bora ni kuwa Mtumishi wa watu,Mchungaji wa watu na kiongozi ni wakili wa yesu

Semina ikiendelea..



Bahadhi ya michezo ndani ya semina ilikuchangamshana kidogo


Baada ya hapo ikafuata kipindi cha pili kikaanza



lunch ilikuwa kama hivi




makabithiano ya uongozi katika ngazi zote za JKM




 Nahawa ndio wenyeviti wa JKM 2013/14

kutoka kushoto Suzana(mkiti 1),Alfonce(mwenyekiti) and Benard(mkiti 2)









SHARE ON:

Hello guys, I'm Tien Tran, a freelance web designer and Wordpress nerd. Sed ut perspiciatis unde omnis iste natus error sit voluptatem accusantium doloremque laudantium, totam rem aperiam, eaque ipsa quae.

5 comments:

  1. Asante sana kutushirikisha semina kwa kutuletea picha hizi! Nimefurahi sana kuziona. Kila siku ninawaombea, na hasa wiki hii mlipokuwa mnajiandaa semina ya uongozi. Mungu azidi kuwajalia neema na mafanyikio mema katika kuendeleza umoja na upendo katika Jumuyia Katoliki Muhimbili!

    Fr. Mike

    ReplyDelete
    Replies
    1. Asante kwa moyo wako ambao daima upo pamoja nasi kiroho Mungu akufanikishe katika yote uyafanyayo

      Delete
  2. Mungu awabariki kwa kazi nzuri mnayoifanya

    ReplyDelete
  3. catherine butambala26 May 2013 at 12:42

    safi sana! mbarikiwe, kazi nzuri! keep it up!

    ReplyDelete
    Replies
    1. wajurishe nawengine kama kuna kitu kama hiki

      Delete